What a day!

The following events took place on Monday 5th February, 2019:

===============

Today's really been a funny  day for me asweya 😂😂😂

1st my katweet went viral & the comments are hilarious!!!😂😂 (viral tweet)

2nd I request uber boda from job halafu napigia huyo mse coz map inaonesha ako around...kushika akaniambia ako Parklands 😂😂😂😂😂 Nimecheka aki.

3rd. Sasa yenye ilikam nikavaa reflector nimeshuka nikaanza kuenda nayo. 😂😂 "Madam nguo yangu usiende nayo" 😂😂😂😂😂

4th nlikuwa tu na mia kwa bag sa nkamlipa akaenda. So since hawaingiagi tao akaniwacha GPO roundabout saa lazima nitafute mpesa nitoe mbesha

5th Mpesa nimetembea nikapata ya hapo Standard Hse. Kutoa pesa wanasema message yangu haijaingia kwao na kwa simu yangu mi nishapata . Anaah baba comes akatoa yake ikafikambele yangu as ikabidi ningoje  😂😂😂😂😂😂😂

Kufika Archive hapo tunachukulianga nganya, nganya haziko na zikikam zinalipisha 150😂😂😂...hawa watu hutubeba mandazi sana, mimi nilipe 150?  Kwani naenda State House 😂😂😂  Sa hizi za watu wa kawaida zikakam. Bei ni 100...sema gari kuchapa. Lakini Who I'm I in the animal kingdom?? 😂😂....Nikapanda. Lakini sasa shida ya hizi normal yenye haina watu rika yangu ni ati ziufika Bypass zinakwama...hahaha sa inabidi tungoje saviour Nganya. Lakini pesa leo iliweza tu NMOA SACCO.

Nganya hata huwa watu hawaitwi. Inakam ka wasee wanakimbilia. Sasa hii mbukinya yetu wameita watu hadi ikatoka tu kama haijajaa yote. Sema Mungu wadau!! !😂😂😂 Kufika roundabout ya Haile Sellasie na Moi Avenue mbele tu yetu nganya ikasimishwa na makarao. Wasee wameshikwa ju hawajafunga belt! 😂😂😂😂 God ni mso sana lakini shida haijaisha 😂😂😂

Sasa katika harakati ya kufunga belt this guy comes hapa nyuma ju back bench tuko tu wawili. Myself and anaah guy, both on each ends. THREE EMPTY SEATS. Guess where the boy-child sits???

😂😂😂😂 Mans sits right next to me it's MAD uncomfortable

Along Msa Road ameongea aki...ooh anaitwa Bob na anaishi Bondeni lakini anaeza penda kunitembelea. He's drunk btw, 😏😏😏😏😏 Still sitting next to each other,😣😣😣😣...he asks for my number na siwezi sema simu iliingia kwa maji ju nimeishika 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Anywayzz, tumefika nikashuka. Narudishia Mungu shukrani. Nilimwambia hio sio simu yangu. 

Last one: 

Just few minutes back nkapitia mse wangu wa mtura tukaanza kuongea.

Him: Ndio kutoka kazi?
Me: Eeh aki
Him: Late aje?
Me: Nairobi ni mbali
Him: Bwana hatateta???
Me: 😂😂😂😂😂
Me again:😂😂😂😂
Him: 😂😂

Him: Si huwa nadhani umeolewa huku...
Me: 😂😂😂😂😂😂😂😂
Him: Ama hakuna mtu unipatie number
Me: 😂😂😂😂😂😂😂😂
Him: Wacha hata leo nikuongezee ya kobole
Me: 😂😂😂😂😂 *Eats extra mtura & promise to think about his proposal*

Comments

Popular posts from this blog

ROOFTOP

Motivation 2

MY VALENTINE