Nairobbery 101
Hio roho yako ya utu hapa streets za Nairobbery ati unataka kusaidia kila mtu kaa tu nayo. These 'homeless' women with kids walking around tao wamejanjaruka kuruka...they're on another new level. Raia tumeshindwa kukeep up!! Here's how: A day last week CBD, Kimathi street hizo sides za Nation Center, a friend ako tu shughuli zake. Sees a well dressed madhe. Well dressed as in hajafunga maleso kama wale tumezoea na hajakaa chini kwa corner akiomba pesa. Kwa mgongo amebeba mtoi mless halafu kuna wawili kando yake. Venye alikuwa amevaa anakaa msee anajiweza so she's not attracting any attention from people in that area. Hao watoi wawili wenye wanatembea hawana zile maswiti so hakuna venye unaeza detect kitu fishy. Just a normal family going about doing their thing, right? WRONG Ghafla bin vuu, Osama bin Laden....madhe akacollapse. Halafu hii place anacollapse of course kuna wasee wanapita. Kumbuka hii ni side ya Nation Center of course wasee wak...